• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

RC Thomasi yeyote atakaecheza na mbolea za ruzuku amazake amazangu

Posted on: August 16th, 2022

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas amewaagiza Wakuu wa Wilaya kusimamia Mbolea za Ruzuku na kuhakikisha zinawafikia wakulima kwa haki.

Hayo amezungumza alipozungumza na wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea amesema Rais amesikia kilio cha Watanzania na ametoa Ruzuku kwenye pembejeo za Kilimo.

“ Mh. Rais amemwaga Madini kwenye pembejeo za kilimo kutoka bei kubwa  ya Mbolea kutoka  zaidi ya laki moja na ishirini hadi hadi elfu Sabini”.

Thomas ametoa rai kwa Wakuu wa Wilaya kusimamia uandikishaji kwa kila Mkulima kwenye kijiji chake ili kila mtu apate pembejeo za ruzuku.

Mkuu wa Mkoa amewaomba wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kujitokeza kuhesabiwa Sensa ya Watu na Makazi ifikapo Agosti 23,2022 ikiwa ni mpango wa  Maendeleo wa miaka 10 ijaya.

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti na Utawala Bora Jenista Mhagama amesema Rais Samia ameamua kuleta pembejeo kwa Ruzuku ya Serikali kwa sababu anawajali sana wananchi wa Tanzania.

Amesema Serikali  imetoa bilioni 50  na imebeba nusu  ya bei na nusu atalipia Mkulima ili kuhakikisha Mwananchi anaondokana na tatizo la ukosefu wa Pembejeo.

Mhagama amesema Wakulima wasichukue mbolea hiyo na kuuza bali kila atakayechukua ahakikishe anatimiza malengo ya kilimo ili kuhakikisha Ruvuma inaendelea kuwa kinara kwa Chakula.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya MKuu wa Mkoa wa Ruvuma

Agosti 16,2022.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa