• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

RC Ruvuma wanaochoma Moto Misitu wachukuliwe Hatua kali

Posted on: November 14th, 2023

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas amekutana na wadau wa Misitu Halmashauri ya Wilaya ya Madaba na kujadili changamoto mbalimbali za moto  zinazojitokeza.

 Mkuu wa Wialaya ya Songea Wilman Ndile amemwakilisha Mkuu wa Mkoa katika Kikao hicho cha wadau wa  Misitu kilichofanyika Katika Ukumbi wa Amani na kuhudhuria wadau mbalimbali.

Ndile akizungumza katika kikao hicho amesema Misitu ni maisha ya watu ikiwa baadhi ya Halmashauri wanaishi kwa kutengemea Misitu ikiwemo Halmashauri ya Mufindi na Mafinga  Mkoa wa Iringa.

“Halmashauri hizo wanakipato cha kujitocheleza kutokana na Misitu ikiwa madaba tunalima mazaoya chakula  na misitu”.

Amesema miaka 20 iliyopita Madaba hapakuwa na ajenda ya Misitu wala TFS haikuwepo wala miti iliyokuwepo haikuwa ajenda ya kibiashara.

“TFS katika Halmashauri ya Madaba wataanza kuvuna Mazao ya Misitu siyo mda mrefu na mapato yataongezeka sana ikiwa Halmashauri inakusanya Bilioni 1ya mapato ya ndani “.

Hata hivyo Ndile amesema swala la uchumi wa Misitu ni maisha ya watu,na Nchi ikiwa sawa na uchumi mwingine kama  dhahabu Geita.

Hivyo Mkuu wa Wilaya ameagiza kutunza  Misitu kikamilifu bila kuchoma moto holela hata misitu ya asili watakaobainika wanachoma moto wachukuliwe hatua kali ya  kishelia.

“Wiki mbili zilizopita tumepata wawekezaji kutoka Ulaya wamesaini Mkataba katika Mkoa wa Ruvuma akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Tunduru na Namtumbo mkataba unasema vijiji vitakavyotunza msitu vizuri watapewa fedha za asante kwa kutunza misitu “.

“Kama moto unasababisha madhara makubwa lazima tushughulike nao ndiomana sisi ni viongozi tumeona tuanze na hilo kila mmoja awe na ajenda ya miaka ijayo ili janga la moto lisitokee”.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Novemba 11,2023

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa