MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas amewaasa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kujilinda na Janga la Ugonjwa wa Ukimwi.
Hayo ameyasema katika Sherehe za wafanyaka Mei mosi iliyofanyika kimkoa Manispaa ya Songea katika viwanja vya Majimaji ametoa rai kwa wafanyakazi kujikinga ikiwa ni pamoja na kupima afya zao.
“Kama wote tunavyofahamu janga la Ukimwi bado lipo jukumu letu sote wazazi na walezi tujilinde na kuelimisha jamii kujihadhari na janga hili la Ukimwi kwani halina tiba wala chanjo tujitokeze kwaajili ya kupima afya”.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa