Mkuu wa Mkoa Kanali Laban Thomas ametoa rai kwa jamii nzima vikiwemo vyombo vya habari kutoa elimu endelevu ili kunusuru jamii dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Kanali Thomas ameutaja wajibu wa vyombo vya haki kama polisi na mahakama kuwa ni kusimamia sheria na kutoa elimu ya sheria kwa kila aina ya ukatili.
Kaulimbiu ya maadhimisho kwa mwaka 2022 ni kila uhai una thamani:tokomeza mauaji na ukatili dhidi ya wanawake na watoto.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa