ENEJA wa Benki ya NMB Kanda ya Kusini Janeth Shango akiwa ameongozana na Meneja wa NMB Tawi la Songea Daniel Zake wamefika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Balozi Wilbert Ibuge kwenda kujitambulisha na kumkaribisha rasmi katika kazi ya kuwatumikia watanzania.
Akizungumza ofisini hapo Meneja wa Kanda ya Kusini Janeth Shango amemkaribisha rasmi RC Ibuge ambapo amesema NMB ipo tayari kushirikiana naye katika nyanja mbalimbali zikiwemo za elimu na afya ili kutoa mchango wake kwa wananchi ambao wanahudumiwa na Benki hiyo ambayo inaongoza kuwa na matawi mengi nchini .
TAZAMA VIDEO HAPA https://www.youtube.com/watch?v=Uxla_apLOGI
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa