MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile akisalimia na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Teofanes Mlelwa na kukagua miradi ya ujenzi wa Madarasa ya BOOST.
Mradi huo wa uboreshaji wa Miundombinu ya Shule za Msingi na awali unaolenga kuimarisha upatikanaji wa fursa katika ujifunzaji bora Tanzania Bara.
Katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba zaidi ya shilingi Milioni 610 imetolewa kwaajili ya ujenzi wa Madarasa katika shule 6 na Shule yenye mkondo mmoja na kufikia hatua ya Umaliziajia.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
Julai 18,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa