MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile amekagua Madarasa 2 ya Shule ya Sekondari Ifinga Kata ya Matumbi yaliyojengwa kwa shilingi Milioni 40.
Mwalimu wa taaluma wa Shule hiyo Paulina Giyam amesema Madarasa hayo yamejengwa kwa shilingi Milioni 40 fedha kutoka Serikali kuu.
Serikali ya awamu sita kwa mda wa miaka miwili imefanikiwa kujenga Madarasa 10 Halmashauri ya Madaba yenye thamani ya Shilingi Milioni 200.
Moja kati ya Madarasa yaliyojengwa ni katika Shule ya Sekondari Ifinga na kukamilika kwa asilimai 100.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Juni 4,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa