• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MWILI wa aliyekuwa Kaimu nafasi ya Afisa Tarafa waagwa leo Madaba

Posted on: February 28th, 2023

MWILI wa aliyekuwa anakaimu nafasi ya Afisa Tarafa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Marehemu Showing Mapunda umeagwa leo na wananchi wa Halmashauli hiyo Nyumbani kwake.

Zoezi la kuaga mwili limefanyika Nyumbani kwake kijiji cha Ifugwa Kata ya Mahanje Halmashauri ya Madaba na kupelekwa Manispaa ya Songea kwaajili ya Mazishi siku ya Jumatano.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo akitoa neno katika zoezi hilo ametoa pole kwa wananchi, watumishi wa Halmashauri hiyo pamoja na Familia ya Marehemu Showing Mapunda.

“Mimi nimekuwa hapaMadaba  takribani ya miaka miwili Mapunda amekuwa mfano kwangu lakini na kwawatumishi wengine,amekuwa mpambanaji hasa katika majukumu ya Kiserikali”.

Kaimu Mkuu wa Idara ya Utumishi Pendo Chagu amesoma taarifa ya Marehemu ikiwa Kifo hicho kimetokea Februari 25,2023 katika Hospitali ya Ikonda Mkoa wa Njombe Wilaya ya Makete ,Marehemu Mapunda alizaliwa Aprili 4,1975 Mkoa wa Ruvuma Wilaya ya Nyasa.

Chagu amesema Marehemu Mapunda alisoma elimu yake ya Msingi kuanzia mwaka 1984/1990 katika Shule ya Msingi Kiwanjani,alisoma Shule ya Sekondari ya wavulana Songea mwaka 1991/1994.

Hata hivyo alifanikiwa kujiunga na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma  mnamo mwaka 2010 na kuhitimu 2012 alisomea shahada ya Uongozi katika Serikali za Mitaa .

Amesema marehemu Showing aliajiliwa na Serikali mwaka 2003 kama Mtendaji wa Kijiji daraja III katika Halmashauri ya Songea na kufanya katika vituo mbalimbali,mara baada ya kupatikana Halmashaauri ya Madaba alihamishwa mnamo mwaka 2015.

“Marehemu Showing amefunga Ndoa mwaka 2005 alimuoa bi. Secla Ally Msaka ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa la Anglikan Manispaa ya Songea na kupata watoto 5”.

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Madaba

Februari 28,2023.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa