• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MWILI wa aliyekuwa Diwani Kata ya Mtyangimbole wazikwa

Posted on: May 12th, 2023

MWILI wa aliyekuwa Mh.Diwani wa Kata ya Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba Mkoa wa Ruvuma Erick Mkorwe umezikwa  leo.

Zoezi la mazishi limefanyika Nyumbani kwake kijiji cha Likarangilo na  kuhudhuria na viongozi mbalimbali wa chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na Viongozi wa Serikali.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Sajidu Idrisa Mohamedi  akitoa taarifa ya Marehemu alifikwa na umauti mara baada ya kupata ajali ya Pikipiki alipokuwa akitekeleza majukumu yake ya kazi.

Amesema Marehemu alizaliwa Februari 5,1973 na umauti  ulimkuta Mei 10,2023,pia alifanikiwa kuwa na watoto 10 wakike 5 pamoja na wakiume 5.

Mohamed amewashukuru Viongozi wote kwa ushirikiano pamoja na watumishi wa Halamshauri ya Wilaya ya Madaba.

Padri Kelvin Mkondora aliyeongoza ibada ya mazishi amewapongeza wananchi kwa ushirikiano na kujitokeza kwa wingi katika msiba huo  bila kujali Dini wala kabila.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Mei 12,2023

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa