MRADI wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Shule za msingi na awali uliojengwa katika Shule ya Msingi Lipupuma Kata ya Mkongotema Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kupitia mradi wa (BOOST) na kugharimu kiasi cha shilingi Milioni 331,600,000/= umekamilika kwa asilimia 100.
Mradi huo utasaidia wanafunzi waliokuwa wanatembea zaidi ya kilomita 7 kufuata masomo katika shule ya Msingi Mkongotema na utasaidia wanafunzi kupata madarasa mazuri ya kujifunzia
Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashaur ya Madaba
Agosti 24,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa