Waziri wa Madini Dkt, Doto Biteko amefungua mkutano wa Wadau wa madini ya makaa ya mawe unaofanyika katika ukumbi wa Familia takatifu Bombambili Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambao umewakutanisha wadau wa madini wa makaa ya mawe kutoka maeneo mbalimbali atoa maelekezo kwa Taasisi mbalimbali kuhusu Barabara,Umeme, na Mazingira kuhakikisha yanakuwa katika ubora pamoja na kuhakikisha wananchi wanaoshi katika mazingira hayo wananufaika na Madini hayo
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa