• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MKAO wa Ruvuma wakabidhi Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Njombe

Posted on: June 16th, 2024

Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge amekabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Ahmed Abbas Ahmed  katika Mkoa wa Njombe.

Madenge amesema Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Ruvuma umekimbizwa kwa kilomita 1289.50 na kupitia jumla ya miradi  72 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 46.

Aidha amesema katika miradi hiyo miradi 17 yenye thamani ya shilingi bilioni 5.7 imefunguliwa na miradi 13 yenye thamani ya shilingi bilioni 10.6 imewekewa jiwe la msingi  miradi 42 yenyethamani ya shilingi Milioni 29.7 imetembelewa na kugawa vifaa mbalimbali.

Amesema Mwenge wa uhuru ulipokuwa Mkoa wa Ruvuma wananchi wamenufaika kwa kuwakumbusha wajibu wa kuhakikisha wanatunza na kuhifadhi mazingira na kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Juni 16,2024.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa