SERIKALI ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa milioni 80 kwaajili ya ujenzi wa Bweni la wasichana na maabara ya fizikia katika Shule ya Sekondari Matetereka.
Kamati ya Fedha Halmashauri ya Madaba wametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Bweni la wasichana na maabara ya fizikia.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 10
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: info@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa