Halmashauri ya Wilaya ya Madaba imeweka mikakati ya kutambua mifugo iliyoingia kihalali na iliyoingia kiholela.
Akizungumza katika Kikao cha Baraza la Madiwa cha robo ya pili ya mwaka 2022/2023 Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Teofanes Mlelwa amesema zoezi liendelee ili kukomesha malalamiko yanyoendelea kutoka kwa wananchi.
“Hili zoezi siyo la Mkuu wa Wilaya wala Mkuu wa Mkoa bali nilawote kuhakikisha tunatambua mifugo iliyoingia kiholela na iliyoingia kihalali”.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa