• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MBUNGE Mhagama Madaba atoa shilingi Milioni 2,620,000/= kwa vikundi Ifinga

Posted on: September 23rd, 2023

MBUGE Jimbo la Madaba Joseph Mhagama  ametoa kiasi cha Shilingi Milioni 2,620,000/= kwa Vikundi 4 na Saruji Mifuko 30 kwa Matawi  Mawili ya Chama cha Mapinduzi Kata ya Matumbi Kijiji cha Ifinga.

Mhagama akiwa katika majukumu ya Kiserikili amewakilishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Teofanes Mlelwa amesema fedha hizo nikwaajili ya kuendeleza miradi yao inayofanyika katika vikundi hivyo.

Amesema vikundi hivyo kikiwemo kikundi cha Wazee Ifinga  ufugaji wamepewa shilingi Laki 5,Mshikamano Ifinga ufugaji wa Nyuki wamepewa Laki 5,Twikwege  wamepewa Laki 5,Akinamama tusaidiane Vikoba Laki 5,Tawi la Chama cha Mapinduzi Ifinga  Mifuko 15  ya saruji na Tawi la Mjengo saruji mifuko 15.

Hata hivyo Mlelwa amechangia shilingi Elfu 40,000/= kwa Tawi la chama cha Mapinduzi Ifinga na Tawi la Majengo 40,000/= Jumla elfu 80,000/=.

Moja ya wanakikundi hao Solomon Konyani amemshukuru Mbunge Mhagama kwa kutekeleza ahadi yake kwa vikundi ambayo  vitawasaidia kuendeleza Miradi yao.

“Tunampongeza kwa jitihada zake kuhakikisha Ifinga Maendeleo mbalimbali yanafika maana tulikuwa watu wa chini sana,  Ifinga tumeletewa Umeme ambao umefikia hatua ya Mwisho tuanze kutumia”.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Septemba 23,2022.

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa