MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed amemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Fredirick Sagamiko katika viwanja vya Sanangula Kata ya Tanga Manispaa ya Songea.
Mwenge wa Uhuru katika Halmashauri ya Madaba umekagua miradi 7 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 800.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa