MWENGE wa uhuru bado upo mkoani Ruvuma ambapo katika Halmashauri ya Madaba umefungua madarasa matano katika shule za sekondari Lipupuma madarasa mawili yaliyogharimu shilingi milioni 29.na sekondari ya Mahanje madarasa matatu yaliyogharimu shilingi milio60 ,Kiongozi wa Mbio za Mwenge amesisitiza utunzaji wa Madarasa hayo ambayo Kipeekee yatasaidia kuleta hamasa kwa Wanafunzi kujisomea kwa bidii.https://www.youtube.com/watch?v=Hdgtm1bvf1U
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa