MAAFISA Elimu Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wametembelea Shule ya Msingi Matetereka na Shule ya Msingi Maweso kwa lengo la kupitia maagizo ya utendaji kazi .
Akizungumza Mkuu wa Idara ya Msingi Saada Chwaya amesema malengo hayo yaliambatana na mikataba iliyosainishwa kwa walimu kwa kuangalia maendelea ya miezi miwili ili kuona wamefikia hatua gani ya ufundishaji na uelewa wa wanafunzi.
Chwaya amewapongeza walimu hao kwa ufundishaji na kuhakikisha wanafunzi kwa mda wa miezi miwili tangu kufunguliwa shule Januari 2023 wameweza kusoma na kuandika.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa