MKURUGENZI Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed anawakaribisha wananchi wote kuhudhuria siku ya Maadhimisho ya Wazee Tarehe 1,Mwezi wa Kumi huduma mbalimbali za kiafya zitatolewa ikiwemo kupima maralia,kisukari,Virusi vya Ukimwi,Pressure,Hali ya Lishe,Huduma za msaada wa Kisaikolojia kuanzia saa tatu kamili asubuhi hadi saa saba mchana.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: P.O.BOX 10
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: info@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa