WATUMISHI wa Masile SACCOS Mbeya wametembelea banda la madaba nane nane na wamejifunza katika Mahanje SACCOS
Jana Meneja wa SACCOS hiyo alikuja kujifunza na watumishi baadhi na alisema kila mwaka wanaenda kujifunza madaba
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa