• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

"KAMPENI ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia Madaba

Posted on: November 29th, 2022

AFISA Ustawi wa Jamii Halmashauri ya Madaba Shani Kambuga ametoa Elimu ya Ukatili wa Kijinsia Katika Shule ya Sekondari  ya Madaba Day na Shule ya Msingi Madaba.

Afisa ustawi ametoa elimu kwa Wanafunzi juu ya Ukatili wa Kijinsia kwa watoto kwa lengo la kumdhuru au kumuumiza kisaikolojia Kimwili,kiafya,kingono na kiuchumi.

Kambuga ameeleza ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana wengi wanafanyiwa ukatili hawafahamu namna ya kupata msaada pale wanapokumbana na vitendo vya ukatili.

Hogla Mliga Afisa ustawi Halmashauri ya Madaba ametoa Elimu juu ya haki ya mtoto mwenye umri chini ya miaka 18,amesema Sera ya Maendeleo ya Mtoto na Sheria na 21 ya mwaka 2009 katika umri huo mtoto anahitaji malezi bora.

“Watoto wana haki  za kipekee kwa sababu umri wao ni mdogo na hali ya haki sawa bila kujali jinsi,rangi,kabila ,Dini hadhi au hali ya kiafya”.

Mliga amesema Serikali,Wazazi na jamii wanawajibu wa  kuhakikisha watoto wanapatiwa haki zao  ikiwemo haki ya kuishi  kuendeleza uhai wa mtoto,kuzuia magonjwa na kupata huduma za matibabu.

Haki ya kuendelezwa maendeleo ya mtoto kiakili,kielimu,tamaduni,kiroho na kipaji pamoja na haki ya kulindwa kuhakikisha mtoto analindwa dhidi ya unyanyasaji na ubaguzi ukeketaji, ndoa za utotoni pamoja na mazingira hatarishi

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Madaba

Novemba 29,2022. 

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa