Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed anawakumbusha wananchi wote kuendeleza Afya na Lishe kwa kwa watoto
Huduma zitatolewa katika vituo vyote vya kutolea huduma za Afya utoaji wa Matone ya vitamini A,utoaji wa Dawa za Minyoo,Upimaji wa Hali ya Lishe
Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya WIlaya ya Madaba
Novemba 29,2023
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa