• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

KAMATI ya fedha Madaba watembele mradi wa nyumba nne Sekondari Matetereka

Posted on: August 14th, 2024

KAMATI ya fedha Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wamefanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ukiwemo mradi wa nyumba nne za walimu katika shule ya sekondari Matetereka.

Mkuu wa Shule hiyo Godfrey Njovu amesoma  taarifa ya mradi huo unaotekelezwa kwa  kupitia wafadhili wa mamlaka ya Elimu Tanzania ( TEA) kwa shilingi milioni 200,000,000/=.

Njovu amesema mradi huo  hadi kufikia sasa umefikia hatua mbalimbali nyumba tatu zimefikia hatua ya kupaua na upigaji wa lipu na nyumba moja ipo katika hatua ya boma.

Aidha Mkuu wa Shule hiyo amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan,Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Mhagama na Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed  kwa kuhakikisha analeta fedha za ujenzi wa nyumba za walimu ambazo zitatatua changamoto ya makazi ya walimu.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Agosti  14,2024.                                              

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa