• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

JUMUIYA ya wazazi Wilaya ya Songea waadhimisha miaka 46 ya CCM kwa kupanda miti Madaba

Posted on: January 29th, 2023

HALAMASHAURI ya Madaba wamesherekea miaka 46 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kupanda miti eneo la Zahanati ya Kipingo Kata ya Lituta.

Mgeni rasmi katika sherehe hizo Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Wilaya ya Songea Hamdan Hamdan amewahimiza wazazi kuhakikisha wanawapeleka watoto sheleni ikiwa asilimia ya wanafunzi wa kidato cha kwanza siyo nzuri katika wilaya ya Songea.

Hamdan ametoa rai kwa wananchi na wanafunzi wa Shule ya Joseph Kizito Mhagama kuendelea kupanda miti katika maeneo ya Shule ikiwa miti ya matunda,Mbao na  miti ya kutunza mazingira.

Mustapha Sultan Yange Mhifadhi wa Shamba la Miti wino TFS amesema wametoa miche 2700 ya mipain  2000 na  milingoti 700 ikiwa ni miti ya mbao  kwa lengo la kuongeza uchumi kwa mtu mmoja mmoja  na Taifa kwa ujumla.

Yange amesema miti iliyopandwa itunzwa kwa kuto choma moto na kuachia  mifugo ikiwa miti hiyo itaongeza mapato ya Halmashauri.

“Lengo letu kuwawezesha wananchi kiuchumi tupande miti na tuitunze ikiwa Halmashauri ya Mafinga wanamapato makubwa mno kupitia zao la miti”

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa