Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Khalid A. Khalif ametembelea banda la halmashauri ya Wilaya ya Madaba katika viwanja vya nane nane Mkoa wa Mbeya.
Mkurugenzi amefurahishwa na Mahanje SACCOS kwa kuwa na wananchama 1699,ikiwa halmashauri ya madaba kuna SACCOS tatu Mahanje SACCOS,Wino SACCOS na Gumbiro SACCOS
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa