• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

DED Madaba amshukuru Rais Samia kwa kutatua changamoto ya Madarasa

Posted on: November 11th, 2023

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za ujenzi wa miradi mbalimbali ikiwemo  BOOST.

Hayo amesema katika kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya kwanza ya mwaka 2023/2024 kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano katika ofisi ya Mkurugenzi.

Mohamedi amesema Serikali imeleta fedha kwaajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Joseph Mhagama shilingi Milioni 470 ambayo imekamilika na imsajiliwa na  imeanza kutoa huduma kupitia mradi wa SEQUIP,Shule ya Msingi Lipupuma imekamilika kupitia mradi wa BOOST imejengwa kwa shilingi Milioni 331 na Shule ya Sekondari Lilondo ambayo inajengwa kwa shilingi Milioni 560 na imeanza hatua za kusajiliwa.

“Nichukue fursa hii kumshukuru Mh.Rais kwa kutatua changamoto za Madarasa kwa  ujenzi wa Mradi wa  Boost hasa madarasa ya awali na darasa la kwanza”.

Mkurugenzi ametoa rai kwa Madiwani kuhakikisha wanawahamasisha wazazi kuandikisha watoto kwa wingi ikiwa Madarasa yamekamika na kuanza kutoa huduma ifikapo Disemba 2023.

Hata hivyo Mohamed amesema kuhusu kidato cha kwanza wamejipanga ikiwa baadhi ya maeneo kulikuwa na upungufu wa madawati  Mbunge wa Jimbo la Madaba amesapoti kupitia mfuko wa Jimbo,shule ya Sekondari Matetereka na Joseph Mhagama.

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmshauri ya Madaba

Novemba 11,2023.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa