• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

DED Madaba alivyotatua kero za Watumishi

Posted on: October 30th, 2023

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed leo Oktoba 30,2023 amefanya kikao na watumishi wote wa Halmashauri na kusikiliza kero na changamoto zao wanazokutana nao katika utendaji Kazi.

Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi mkuu wa Ofisi ya Mkurugenzi mara baada ya kusikiliza kero mbalimbali na changamoto za watumishi hao ametatua baadhi ya changamoto na zingine kuhaidi kuzifanyia kazi kwa awamu tofauti.

Mkurugenzi amewapongeza watumishi kwa jitihada ya kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo inayoletwa katika Halmashauri hiyo.

Hata hivyo Mkurugenzi amewasihi  watumishi kuwa na mahusiano mazuri katika utendaji kazi na mahusiano ya kawaida ili kuleta chachu ya kuboresha maendeleo ya nchi ya Tanzania na mtu mmoja mmoja.

Mohamed amewaagiza  Maafisa Elimu Kata na Watendaji Kata kushirikiana katika zoezi la uandikishaji wa  wanafunzi wa darasa la awali na darasa la kwanza Mwaka 2024.

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmshauri ya Wilaya ya Madaba

Oktoba 30,2023.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa