Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile awaalika wananchi wote siku ya tarehe 15,6,2024 kupokea mwenge wa uhuru ambapo katika Halmashauri ya Mdaba utapokelewa katika viwanja vya shule ya msingi mtyangimbole na kukesha viwanja vya shule ya msingi Madaba
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa