MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile amekabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma baada ya kukimbiza Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kwa kilomita 129.1 na kukagua miradi 8 yenye thamani ya shilingi bilioni 1.4. ambapo miradi miwili imewekwa jiwe la msingi,miradi 6 imetembelewa na miradi miwili imezinduliwa.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa