MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile amekagua ujenzi wa Mradi ya Boost Halamshauri ya Wilaya ya Madaba.
Miradi hiyo ya uboreshaji wa miundombinu ya Shule za Msingi na awali kwa Halmashauri hiyo fedha za ujenzi zimeingia katika Shule sita kiasi cha shilingi Milioni 610,300,000/=.
Ndile ametoa rai kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati na kwa ubora ifikapo 30 Juni 2023 ambayo itapelekea kuhakikisha haivuki mwaka wa fedha 2022/2023.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Juni 6,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa