• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

Benki ya NMB yaanzisha mikopo ya Elimu na ujenzi wa nyumba

Posted on: July 3rd, 2024

Benki ya NMB imeanzisha huduma ya  Mikopo ya Elimu na Ujenzi wa nyumba kwa mwaka mmoja hadi miaka 25 kwa kila Mtanzania.

Afisa Mahusiano  wa benki ya NMB Madaba Happy Mbelle amesema mkopo wa ujenzi wa nyumba unapatikana  kwa riba ya asilimia 14 kwa mwaka mmoja hadi miaka 15 na mkopo wa miaka 16 hadi 25 kwa riba ya asilimia 16.

“Inakuwa ni rahisi kwa sababu wewe ni mtumishi taarifa zako zinakusaidia kwaajili ya kupata mkopo “.

Hata hivyo amesema mkopo huo unapatikana kwa elimu ya juu ,msingi,sekondari  na ufundi kwa kiwango cha hadi shilingi milioni 10 mda wa mkopo kuanzia Mwaka mmoja.

“Mkopaji anaweza kuchukua mkopo kwaajili ya elimu ya muombaji binafsi na wategemezi kama watoto,mwenza,na ndugu anaowalea”.

Naye Meneje wa NMB Kanda ya kusini Vivian Nkhangaa amesema pia kuna  huduma ya Nuru yangu inayohusu kudhamini wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita wanaotoka katika familia duni.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba 

Julai 2,2024.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa