WAKALA wa Barabara vijijini (TARURA) wameanza kutengeneza barabara yenye kilomita 1.2 kutoka njia panda ya kwenda ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kwa kiwango cha lami.
Meneja wa TARURA Wilaya ya Songea Bakari Ryamera amesema Barabara hiyo itajengwa kwa shilingi Milioni 593.6 . kwa muda wa Miezi sita.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Septemba 18,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa