HIRIKA la Ndege Tanzania ATCL limerejesha safari za anga kwenye kiwanja cha Songea kilichopo Ruhuwuko kuanzia Februari 17 mwaka huu,baada ya serikali kukamilisha ukarabati wa kiwanja hicho uliogharimu shilingi bilioni 37.Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Songea Dkt.Damas Ndumbaro amewaongoza wakazi wa Songea kwenye mapokezi ya ndege hiyo.
A
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema akizungumza katika mapokezi ya ndege katika kiwanja cha ndege Songea.Kwa kuanzia safari za ndege za ATCL mkoani Ruvuma zitakuwa zinafanyika mara mbili kwa wiki siku ya Jumatano na Jumapili.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa