• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika

WAKAZI zaidi ya milioni moja Ruvuma wapata maji safi na salama

Posted on: January 11th, 2021

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema wakazi 1,149,867 katika Mkoa wa Ruvuma wanapata maji safi na salama hadi kufikia Oktoba 2020.Akitoa taarifa ya maendeleo ya Mkoa wa Ruvuma kwa Waziri Mlkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya kikazi mkoani humu,Mndeme amesema idadi hiyo ya watu ni sawa na asilimia 63.9 ambapo idadi ya watu wanaopata maji vijijini ni sawa na asilimia 61.6 wakati wakazi wa mijini ni asilimia 66.4.

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa  amesema uboreshaji wa huduma za maji mijini na vijini hadi kufikia Oktoba mwaka jana Mkoa ulitekeleza miradi 29 ya ukarabati na upanuzi  iliyogharimu zaidi ya shilingi bilioni 1.168 kupitia program ya lipa kwa matokeo(PBR) ambapo jumla ya miradi  19 imekamilika na miradi kumi inaendelea kutekelezwa.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma miradi 33 ya programu ya lipa kwa matokeo ipo kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji.

Imeandikwa na Albano Midelo

Afisa Habari Mkoa wa Ruvuma

Januari 11,2021

Matangazo

  • TENDER INVATATION March 23, 2017
  • FORM SIX NATIONAL EXAMINATION April 28, 2017
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • KATIBU Mkuu Utumishi awaagiza watumishi kutoa huduma bora kwa wananchi

    January 25, 2021
  • JAFO atoa maagizo mazito kwa wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi nchini

    January 22, 2021
  • HALMASHAURI ya Madaba Mkoani Ruvuma yatoa Mikopo zaidi ya Milioni 53

    January 21, 2021
  • RUWASA yatekeleza agizo la RC Mdeme,Madaba waanza kupata Maji ya Bomba

    January 19, 2021
  • Angalia zote

Video

RUWASA WATEKELEZA AGIZO LA RC MNDEME,MADABA WAANZA KUPATA MAJI YA BOMBA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma RS
  • Ruvuma-webportal

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 10

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: info@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa