• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika

RUWASA yatekeleza agizo la RC Mdeme,Madaba waanza kupata Maji ya Bomba

Posted on: January 19th, 2021

RUWASA Wilaya ya Songea imetekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme kuhakikisha mradi wa maji unaotekelezwa kwenye vijiji vinne vya Mtepa,Kipingo,Lituta na Madaba Halmashauri ya Madaba uliogharimu zaidi ya shilingi bilioni 1.03 unaanza kutoa maji kwa wananchi.Tayari wananchi wa  Kata ya Lituta Halmashauri ya Madaba wameanza kupata maji ya bomba hivyo kumaliza kero ya muda mrefu wa ukosefu wa maji ya kutosha.TAZAMA  habari kwa kina https://www.youtube.com/watch?v=uIrx22jYF6w

Matangazo

  • TENDER INVATATION March 23, 2017
  • FORM SIX NATIONAL EXAMINATION April 28, 2017
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • STOF ilivyosaidia kuboresha afya Mkoani Ruvuma

    March 04, 2021
  • MAADHIMISHO ya wanawake duniani yazinduliwa rasmi Ruvuma

    March 02, 2021
  • IDARA ya Ardhi Mkoa wa Ruvuma yakusanya maduhuli ya Serikali kwa asilimia 108

    March 01, 2021
  • WAZIRI Mkuu aagiza Mamlaka za serikali za mitaa kutenga bajeti kuhifadhi maeneo ya kihistoria

    February 27, 2021
  • Angalia zote

Video

RUWASA WATEKELEZA AGIZO LA RC MNDEME,MADABA WAANZA KUPATA MAJI YA BOMBA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma RS
  • Ruvuma-webportal

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 10

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: info@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa