• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MWENGE wa Uhuru kukimbizwa Mkoani Ruvuma siku tano

Posted on: August 19th, 2021

MBIO maalum za  Mwenge wa Uhuru zinatarajia  kuanza mkoani Ruvuma Septemba mbili na kukamilika Septemba saba mwaka huu.Kwa mujibu wa ratiba ya Mwenge wa Uhuru kitaifa 2021,Mwenge unatarajiwa kupokelewa  katika kijiji cha Sautimoja wilayani Tunduru ukitokea mkoani Mtwara Septemba mbili ambao utakimbizwa wilayani Tunduru.

Kwa mujibu wa ratiba hiyo Septemba tatu, Mwenge wa Uhuru utakimbizwa wilaya ya Namtumbo,Septemba nne Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Halmashauri mbili za  wilaya ya Mbinga,Septemba tano utakimbizwa katika wilaya ya Nyasa na Septemba sita  Mwenge wa unatarajia kuhitimisha mbio zake katika Halmashauri tatu za wilaya ya Songea ambazo ni Halmashauri ya Songea,Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Madaba.

Jumla ya miradi 43 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni kumi inatarajiwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru mwaka huu  ambapo Septemba saba mwaka huu Mwenge wa Uhuru unatarajiwa  kukabidhiwa mkoani Njombe

Kaulimbiu ya Mwenge wa Uhuru mwaka huu ni

"TEHAMA ni msingi wa Taifa endelevu,itumie kwa usahihi na uwajibikaji"

"Kupambana na rushwa ni jukumu langu"

"Mshikamano wa kitaifa, tuwajibike kwa pamoja"

"Tujenge jamii yenye afya imara kuzingatia lishe bora"

"Ziro malaria inaanza na mimi,nachukua kuitokomeza"

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa