• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

ZAIDI ya shilingi bilioni tano yatekeleza miradi Kata ya Gumbiro

Posted on: July 24th, 2024

KATA ya Gumbiro Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kuanzia mwaka 2021 hadi 2024 imepata fedha ya utekelezaji wa miradi zaidi ya shilingi bilioni tano.

Hayo amesema Mbunge wa Jimbo la Madaba Mhe.Joseph Mhagama katika ziara yake katika Kata hiyo ya kukagua miradi mbalimbali.

“Mpaka leo ninavyozungumza shilingi Bilioni 5,719,000/= zimetekeleza miradi Kata ya Gumbiro kutafuta fedha kama hizi kunahusisha ridhaa ya Rais na Mbunge pia Diwani wetu na hizi fedha tungepeleka katika kitu kimoja tungejenga vituo vya afya 11”.

Mhagama amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaheshimisha wana Gumbiro kwa kupata maji,umeme,barabara na madaraja ambayo yanawawezesha wananchi kuelekea mashambani.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Julai 24,2024.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa