Pichani katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwaongoza wananchi mkoani Ruvuma kwenye maadhimisho ya kilele cha siku ya wanawake Duniani ambayo kimkoa yamefanyika kwenye uwanja wa CCM mjini Mbinga.
Pichani juu kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mheshimiwa Filbetho Sanga na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mheshimiwa Aziza Mangosongo
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa