Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas (kushoto) akibidhi miti 300 aina ya mipaini kwa Wananchi ambao mashamba yao yaliungua kwa kwa ajari ya moto katika kijiji cha liliondo kata ya Wino iliyopo Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa