• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

SILINDE aridhishwa na Madarasa 17 Halmashauri ya Madaba

Posted on: December 18th, 2021

MADARASA 17 yaliyojengwa Halmashauri ya Madaba  kupitia Mradi wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Jamii Covid 19 yakamilika kwa asilimia 100.

Akisoma taarifa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Joseph Mrimi kwa Naibu Waziri wa Tamisemi David Silinde  na kuelezea faida ya kukamilika kwa Madarasa hayo.

Amesema  Halmashauri ilipokea kiasi cha shilingi  milioni 340,000,000  kwaajili ya ujenzi wa Madarasa 17 katika shule 7 za Sekondari.

Mrimi amesema mradi huo umesababisha upatikanaji wa madarasa boro ambayo yatawavutia wanafunzi kuja shule  kutokana na miundo mbinu bora,samani bora na kuondoa changamoto ya miundombinu.

‘’Tunatoa shukrani  zetu za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha ambapo miradi imekamilika chini ya uongozi  wake  thabiti kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi  ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025’’.

Mrimi ameelezea changamoto wakati wa wa utekelezaji wa Mradi huo wa Madarasa kutopatikana kirahisi kwa bidhaa za ujenzi wa viwandani,Mfumuko wa bei za  vifaa vya viwanda,kuadimika kwa baadhi ya vifaa vya viwandani kama vile bati na saluji.

Naibu Waziri wa Tamisemi David Silinde ameridhishwa na Mradi wa Madarasa 17 yaliyojengwa kupitia Mpango wa Maendeleo ya Utawi wa Taifa amesea madarasa hayo yamejengwa kwa viwango, yatawasaidia Wanafunzi kupata hamasa ya kujisomea kwa bidii na hatimaye kufikia ndoto zao.

Silinde amewapongeza Viongozi wa Mkoa akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma pamoja na Mkuu wa Wilaya na Watumishi wote kwa kusimamia Miradi hiyo na kuahidi kuendelea kuleta Miradi Mingine katika Halmashauri hiyo.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Desemba 17,2021

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa