Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed ametembelea hospitali ya Wilaya na kukagua vifaa tiba vilivyoletwa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia suluhu Hassan kwaajili ya hospitali hiyo, Kituo cha Afya Matetereka na Zahanati ya Mahanje.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa