SERIKALI ya awamu ya sita imeleta fedha kiasi cha shilingi Milioni 50 kwaajili ya ukamilishaji wa Zahanati ya Mahanje Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.
Fedha hizo hadi kufikia sasa imetumika kiasi cha shilingi Milioni 43 na kufikia hatua ya uwekaji wa malumalu na kutarajia kukamilika kabla ya Novemba kuisha 2023.
Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Novemba 19,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa