SERIKALI ya awamu ya sita imetekeleza ujenzi wa mradi wa Nyumba tatu za watumishi katika kambi ya Ifinga Shamba la Miti Wino Kwa shilingi Milioni 150.
Nyumba hizo zitasaidia kutatua changamoto ya watumishi wanaosimamia mashamba ya Miti katika makambi hayo na kupata Nyumba bora za kuishi.
Kuoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
Agosti 26,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa