MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas amewaagiza Viongozi Halmashauri ya Madaba kukagua miradi na siyo kutembelea ilikuhakikisha inakuwa na ubora.
Hayo ameyasema alipotembelea miradi ya Boost ya Ujenzi wa Madarasa na shule ya Mkondo mmoja ya Lipupuma Kata ya Mkongotema na Miradi ya Swash ya ujenzi wa matundu ya vyoo katika Shule 11 Halmashauri ya Madaba.
“Miradi inaenda vizuri kinachotakiwa ni kuongeza kasi ya ujenzi na miradi iweze kukamilika na nyie viongozi hamieni maeneo ya ujenzi siyo kukaa ofisini”.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Julai 1,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa