MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameagiza matangazo ya vivutio vya utalii vilivyopo mkoani Ruvuma yawekwe katika kiwanja cha ndege cha Songea ili viweze kufahamika kwa watalii watakaokuwa wanafika mkoani Ruvuma kupitia kiwanja hicho ambacho kinatarajia kuanza kuruhusu kutua ndege kubwa katikati ya mwezi Januari 2020.soma kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=0XTYt4Zp1fk
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa