• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika

RAIS Samia atoa Milioni 90 ukarabati wa Madarasa 6 Ifinga

Posted on: September 24th, 2023

SERIKALI ya awamu ya sita  inayoongozwa na Rais Samia imetoa  shilingi Milioni 90 kwaajili ya ukarabati wa Madarasa 6 katika Shule ya Msingi Ifinga Kata ya Matumbi Halmshauri ya Madaba.

Akizungumza Mkuu wa Shule hiyo Maiko Msigwa amesema michakato ya kuwapata Mafundi imekamilika na zoezi la ukarabati wa Madarasa hayo utaanza mara moja.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Teofanes Mlelwa amemshukuru Rais Samia,Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Mhagama kwa kuendelea kuleta fedha kwaajili ya  utekelezaji wa Miradi katika Halmashauri ya Madaba.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Septemba 24,2023.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • KANISA la TAG Madaba wapata Mchungaji Mpya

    November 26, 2023
  • ZAHANATI ya Mahanje yaanza kutoa huduma

    November 23, 2023
  • SERIKALI yawapunguzia Wananchi umbali mrefu kufuata huduma za Afya Mahanje Madaba

    November 23, 2023
  • WANAFUNZI Lipupuma Madaba walivyofurahia kusoma Shule Mpya

    November 22, 2023
  • Angalia zote

Video

MWEKEZAJI AMALIZA KERO YA VITANDA IFINGA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 10

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: info@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa