SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia imeleta shilingi Milioni 95 kwaajili ya ujenzi wa Nyumba ya walimu shule ya Sekondari Joseph Mhagama.
Wataalam kutoa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wamekagua ujenzi wa Nyumba hiyo inayojengwa kwa mradi wa SEQUIP na kufikia hatua ya kupiga rangi ,kujenga ngazi kuweka malu malu na kufunga PVC na mradi huo unatarajia kukamilika Novemba 20,2023.
Kutoka kitengo cha Mawsiliano Halamshauri ya Madaba
Novemba 16,2023
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa