• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MIKAKATI ya Uboreshaji wa Elimu Ruvuma yaleta matokeo chanya

Posted on: September 15th, 2022

MKOA wa Ruvuma umeweka mikakati ya kuinua ubora wa Elimu  na kuongeza Taaluma Kitaifa.

Akizungumza Afisa Elimu Mkoa wa Ruvuma Hakimu Mafuru amesema Mkoa wamejipanga katika ufuatiliaji  wa utekelezaji wa Mtaala wa Elimu katika ngazi za Elimu za Halmashauri.

Amesema mikakati hiyo ni pamoja na kuhimiza na kufuatilia ufayikaji wa mitihani  ya upimaji wa mara kwa mara kwa madarasa yote,kutoa ushauri wa Halmashauri kufanya urekebishaji wa ikama  ya walimu.

Kuhimiza utoaji wa motisha kwa wanafunzi na walimu Shule na Halmashauri zinazofanya vizuri kwenye taaluma pamoja na kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa utoaji wa chakula kwa wanafunzi  wawapo Shuleni wakati wa mchana.

Afisa Elimu ameelezea changamoto katika Sekta ya Elimu  ikiwemo  wazazi kuhamia Mashamabani mbali na Shule na kuacha wanafunzi peke yao hivyo husababisha  kuwa utoro  na kuacha masomo.

Amesema baadhi ya wazazi kutochangia chakula  upungufu wa walimu hasa katika Shule za Msingi,Kutokuwa na Shule za bweni zinazokidhi mahitaji pamoja na upungufu wa miundombinu,samani na hosteli.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka kitengo cha Mawasiliano  Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkao wa Ruvuma

Septemba 16,2022.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa