• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MBUNGE Madaba atoa mifuko 20 ya Saruji ukarabati ofisi ya chama tawi la kifaguro

Posted on: February 2nd, 2023

MBUNGE wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama ametoa mifuko 20 ya saruji yenye thani ya shilingi 340,000/=  kwaajili ya ukarabati wa ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)  Tawi la Kifaguro.

Kwaniaba ya Mbunge Katibu wa Mbunge Onesmo Kobe amekabidhi kwa Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Lituta Olaph Pili amesema ni ahadi ya Mbunge mara baada ya kutembelea ofisi hiyo Januari 2021.

Kwa upande wake Diwani Pili mara baada ya kupokea Saruji hizo na kukabidhi kwa viongozi wa Tawi amesema Ofisi hiyo imejengwa kwa nguvu za wananchi hivyo waliomba nguvu ili waweze kuikarabati

“Mheshimiwa Mbunge aliwaahidi kutoa mifuko 20 kadri ya mahitaji yenu ili muweze kumalizia ukarabati”

Pili amesema Mbunge wa Madaba akishirikiana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wameendelea kuleta maendeleo  katika jimbo la Madaba majengo ya  Majengo ya Serikali na ofisi za Chama.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa