• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MBUNGE Madaba alivyowapa kicheko wanafunzi wa Sekondari ya Lilondo

Posted on: April 27th, 2024

MBUNGE wa Jimbo la Madaba Joseph Mhagama  ameweka umeme wa sora katika shule mpya ya Sekondari Lilondo iliyopo kata ya Wino iliyojengwa kwa shilingi Milioni 560.

Akizungumza kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo hilo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Madaba Teofanes Mlelwa amesema umeme huo wa sora umewekwa kwa mda ikiwa jitihada za kupeleka umeme wa TANESCOL zinafanyika kwa haraka ili kuhakikisha wanafunzi walioanza kidato cha kwanza mwaka huu 2024 wanasoma katika mazingira rafiki.

Kwa upande wake Mkuu wa Shule ya Sekondari Lilondo Subira Mapunda amemshukuru  Mbunge wa Jimbo la Madaba,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Madaba , pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo ambaye ni Diwani wa Kata ya Wino kwa kuuunga mkono juhudi za Serikali.

“Tunawashukuru sana viongozi wetu kwa kuunga mkono juhudi za Serikali tunahaidi sora hizi tutazitunza na tunamashukuru Rais samia kwa kuendelea kutujengea miundombinu ya shule yetu “.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Aprili 26,2024.      

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa